Shirkisho la soka Tanzania TFF leo October 18 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas limemtangaza Shiza Ramadhani Kichuya kuwa mchezaji bora wa mwezi September wa Ligi Kuu Vodacom, TFF wamemtangaza Kichuya na atapatiwa zawadi ya Tsh milioni 1 kutoka Vodacom.
“Mshmabuliaji
wa Simba Shiza Ramadhani Kichuya yeye alichaguliwa kuwa mchezaji bora
wa VPL wa mwezi September kwa mwaka 2016, Kichuya ambaye ni mshambuliaji
aliwashinda wachezaji Adam Kingwande wa Stand United na Omary Mponda wa
Ndanda FC, Kichuya aliisaidi timu yake kupata point 12 katika mechi nne
za September”
ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1
0 comments:
Post a Comment